Loo kweli bwana namkubuka huyu Goal kipa wao sijuwi yupo wapi kwa sasa miaka miaka inapita nakumbuka walikuwa wachezaji hao wakipita mtaani kwetu pale mbuyu taifa wakielekea kiwanjani kwao lumumba sijuwi kama ule mbuyu bado kama upo
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
5 Comments
mlandege
ReplyDeleteLoo kweli bwana namkubuka huyu Goal kipa wao sijuwi yupo wapi kwa sasa miaka miaka inapita nakumbuka walikuwa wachezaji hao wakipita mtaani kwetu pale mbuyu taifa wakielekea kiwanjani kwao lumumba sijuwi kama ule mbuyu bado kama upo
ReplyDeleteHiyo sio timu ya Small Simba?
ReplyDeleteKama sijakosea wachezaji niliowaona ambao na wafahamu ni Karume Mussa, Faria Shawal, Othman Masoudi.. wengine siwajui.
MLANDEGE ,HAPO NAMKUMUKA SATARI,ABDUL MALAIKA ,SHEM FRANK, ABDUL PIRA MALAI ,NA JUMA BAKARI KIDISHI,MADOLE
ReplyDeletesio mchezo hapo 1 ni kipa abdull satary 2 maalim ussi 3 muhidini siso 4 waziri seif 5 muhammed babech 6 shem frenk mkiristo 7 simkumbuki waliochuchama 1 simkumbuki 2 said Suleiman 3 eddy odo abdu pira 4 juma kidishi 5 simkumbuki
ReplyDelete