Airtel Imefanya droo ya Gari ya Kila Mwezi na Kukabidhi TVSaba kwa Washindi
wa Mwaka Umenyooka na MyAirtel App
-
Dar es Salaam, 3 Machi 2026
KAMPUNI ya Airtel Tanzania leo imetoa televisheni 7 za inchi 43 kwa
washindi wa kampeni ya Mwaka Umenyooka na MyAirtel App, ...
3 hours ago
1 Comments
Kichwa cha habari na picha iliyowekwa naona ni tofauti. "Wadau wa Bidhaa za Utalii Zenji" hizo bidhaa zao mbona hatuzioni wamekaa kama watu waliokuwa kijiweni wanatia story tu.
ReplyDelete