Msimu wa Utalii ukiwa ukipamba moto katika mitaa ya Mji wa Zanzibar kwa watalii wa Mataifa mbalimbali wakitembelea Visiwa vya Zanzibar na Vitongoji vyake kutembelea sehemu za Historia ya Zanzibar na Vivutio vyengine vya Kitalii katika Kisiwa cha Zenj. Kama wanavyoonekana Watalii hawa wakiwa katika mitaa ya Mji Mkongwe wakiwa katika shughuli za Kitalii.
STAMICO YAGUSA MIOYO YA WATOTO YATIMA, YATOA MSAADA KUELEKEA SIKUKUU YA IDD
-
Katika kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Madini la
Taifa (STAMICO) limetembelea Kituo cha Watoto Yatima cha Umra Orphanage
jijini Dar...
8 hours ago
1 Comments
Hili ni jambojema znz, lakini pia nijambo la kusikitisha mapato yanayo tokana na utalii hayaineemeshi znz kwakuwa ina viongozi walafi au wazembe,tukija kwenye kodi wawekezaji wakigeni wanashirikanna na wanyeji kukwepa kodi kamishin ya utlii kimmwya wao kubwa kupipata katika vijumba vya kulala wa geni vinomilikiwa na wazalendo kuwakamua.Tunomba wajirekebishe utalii uwanufaishe waznzibari wote
ReplyDelete