6/recent/ticker-posts

Ligi Kuu Zanzibar KMKM 1 - Jamhuri - 0

MCHEZAJI wa timu ya Jamhuri Suleiman Ali, akibanwa na mabeki wa Timu ya KM KM wakati alipokuwa akielekea kumsalimia milnda mlango wa timu hiyo Ali Suleiman, katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliopigwa Gombani, KM KM kuibuka na ushindi wa goli 1-0.(

 MSHAMBULIAJI wa timu ya Jamuhuri Mohamed Seif, akijaribu kum toka mlinzi wa timu ya KM KM , Haitham Khamis katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliopigwa Gombani, KM KM  kuibuka na ushindi wa goli 1-0.

MLINZI wa timu ya KM KM, Khamis Ali akiruka juu kuokoa mpira wa juu, uliokuwa ukiwanyiwa na mshambuliaji wa timu ya Bakar Khamis, katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliopigwa Gombani, KM KM  kuibuka na ushindi wa goli 1-0
 
.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
 

Post a Comment

0 Comments