6/recent/ticker-posts

Ujumbe wa wadi za Makunduchi watembelea mtambo wa kusafisha maji na mgodi wa chuma cha pua mjini Kiruna, Sweden

Ujumbe wa wadi za Makunduchi ndani ya mtambo wa kusafisha maji. Wapili kutoka kushoto ni Engineer Simai akiwafahamisha wajumbe wenzake namna ya mtambo wa kusafisha maji unavyofanyakazi.
 Mji wa Kiruna una utajiri mkubwa wa madini ya aina ya chuma cha pua. Kampuni ya LKAB inayomilikiwa na Serikali ndiyo yenye dhamana ya kuchimba madini. Mgodi wa Kiruna wa chuma cha pua unaongoza kwa usasa duniani. Ndani ya mgodi kuna kila ya aina ya huduma ilkiwemo makumbusho.Ndani ya Mgodi wa chuma cha pua Kiruna ni kama ndani ya nyumba yoyote ile ya fahari
Ndani ya Mgodi wa chuma cha pua Kiruna ni kama ndani ya nyumba yoyote ile ya fahari
 



Post a Comment

0 Comments