Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Swissport katika uwanja wa
ndege wa kimataifa ya Julius Nyerere wakati akielekea kwenye ndege jioni
ya jana, Jumatatu, Oktoba 28, 2013, kwenda London, Uingereza, kwa ziara ya
kikazi ya siku nne ambako atahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali
Uwazi (Open Government) uliotishwa na Serikali ya Waziri Mkuu
wa Uingereza, Mheshimiwa David Cameroun. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe na Meneja wa Shirika la ndege la
Emirates uwanjani hapo Bw. Aboubakar Jumaa. (PICHA NA IKULU)
WAWILI WAFUNGWA MIAKA 30 KWA UBAKAJI
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKAZI wawili wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka k...
1 hour ago

0 Comments