6/recent/ticker-posts

Mandhari ya Mji wa Dubai Huoooooooo


 Hii ni taswira halisi ya mji wa Dubai asubuhi ya leo Octoba 01-2013 ambapo ni Makao Makuu ya Umoja wa Falme za kiarabu UAE, mji ambao unaoendelea kutanuka kila mwaka kibiashara kutokana na kukuza ongezeko la aina mbalimbali ya Viwanda.(Picha na Amour Nassor)

Post a Comment

3 Comments

  1. mie nilidhania zenji kumbe dubai....inshalah na zenji yetu itafikia hatua hiyo some day

    ReplyDelete
  2. Dubai si makao makuu ya UAE; ni mji mashuhuri; makao makuu (kwa maana ya mji mkuu) wa UAE ni Abu Dhabi

    ReplyDelete
  3. Zenji, yetu muhudi, haifiki, kama miji ya wenzetu, kwa wenzetu, wajenga, nchi, ni wananchi, leo, watu, hawataki kujenga, pba, yetu; ingawa kuna manza nzuri ya kuvutia, wanataka kubana hapa hapa, unguja, nakusababisha ujenzi holela, halafu, tunataka kupumua, tuyaondoweni, makontina, darajani, tusafishe mji wetu, tuzivunje, nyumba, chini ya barabara, zikae, mita 20, sote tuimbe, nyimbo moja, tuijenge unguja yetu, virudi, katika haliyake ya usafi na kimazingira

    ReplyDelete