Hii ni taswira halisi ya mji wa Dubai asubuhi ya leo Octoba 01-2013 ambapo ni Makao Makuu ya Umoja wa Falme za kiarabu UAE, mji ambao unaoendelea kutanuka kila mwaka kibiashara kutokana na kukuza ongezeko la aina mbalimbali ya Viwanda.(Picha na Amour Nassor)
RC CHALAMILA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA CARDINALI PENGO
-
Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Feb 23,2026 akiwa
ameambatana na kamati ya usalama Mkoa, amesaini kitabu cha maom...
3 hours ago
3 Comments
mie nilidhania zenji kumbe dubai....inshalah na zenji yetu itafikia hatua hiyo some day
ReplyDeleteDubai si makao makuu ya UAE; ni mji mashuhuri; makao makuu (kwa maana ya mji mkuu) wa UAE ni Abu Dhabi
ReplyDeleteZenji, yetu muhudi, haifiki, kama miji ya wenzetu, kwa wenzetu, wajenga, nchi, ni wananchi, leo, watu, hawataki kujenga, pba, yetu; ingawa kuna manza nzuri ya kuvutia, wanataka kubana hapa hapa, unguja, nakusababisha ujenzi holela, halafu, tunataka kupumua, tuyaondoweni, makontina, darajani, tusafishe mji wetu, tuzivunje, nyumba, chini ya barabara, zikae, mita 20, sote tuimbe, nyimbo moja, tuijenge unguja yetu, virudi, katika haliyake ya usafi na kimazingira
ReplyDelete