6/recent/ticker-posts

Mkutano wa CUF Tumbe

 Wanachama wapya wa CUF katika Jimbo la Tumbe wakionyesha kadi zao baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad.
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Pwepweu jimbo la Tumbe.
 Vijana wa CUF (JUVI CUF) wakiwa mstari wa mbele kumsikiliza Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad huko Tumbe.
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi kadi za CUF kwa wanachama wapya 1536 kutoka Jimbo la Tumbe.
Kada wa CCM, Bw. Heshima Mkubwa akionesha kadi ya CCM kabla ya kuirejesha na kukabidhiwa kadi ya CUF baada ya kuamua kukihama chama chake CCM. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Post a Comment

0 Comments