Wachuuzi wa samaki wakiwa katika mnada wa samaki katika bandari ya malindi Zenj, bandari hiyo hutumika kwa wavuvi mbalimbali kufikisha samaki katika bandari hiyo na kuuzwa kwa njia ya mnada.Kama wanavyoonekana Wananchi na Wachuuzi wakiwa katika mnada huo.
Mpakalini mambo haya ya kuvuliwa samki na kuuzwa kw minada litaondoka hapa znz, duniya ya leo takiwimu inahitajika kila sekta, sas idara ya uvuvi inajua zina vuliwa tani ngapi kwa siku na mwaka, au ndio hivyo visi vinata waliwa na wakwezi na wakulima
1 Comments

ReplyDelete