6/recent/ticker-posts

Rais Kikwete Azungumza na Balozi wa Pakistani alipofika Ikulu Kumuaga Baada ya Kumaliza Muda wake

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa  Pakistan nchini Tanzania Mhe Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam, kumuaga baada ya kumaliza muda wakev wa Kazi Tanzania kuiwakilisha Nchi yake..
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania Mhe Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam, kuja kumuaga baada ya kumaliza muda wake wake wa kufanyakazi Tanzania.

Post a Comment

0 Comments