Nyumba ya ajabu baharini huvutia watalii na wenyeji kwa kupata huduma za Chakula na viwanji. Nyumba hii ikiwa imejengwa kwa mbao na makuti,Hutowa huduma kwa wtu mbalimbali wanaofika katika nyumba hiyo inayoelea baharini
Bandari ya Pemba kufungua zaidi milango ya utalii
-
Na Mwandishi Wetu
PEMBA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.
Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Pemba ina vivutio vingi ...
56 minutes ago
1 Comments
Uandishi gani huu habari. Iko wapo, inamilikiwa na nani. Burudani gani?
ReplyDelete