6/recent/ticker-posts

Jangombe yasherehekea Kombe la Mchezo wa Nage

 Wachezaji wa timu ya mchezo wa Nage ya Jimbo la Jambombe wakishangilia ushindi wao wa kuifunga Timu ya Jimbo la Kikwajuni kwa chupa 28 -17, uliofanyika katika viwanja vya Kisonge Michezani.  
                            Chereko Chereko kwa timu ya Jimbo la Jangombe wakiwa na Kombe lao

Post a Comment

0 Comments