Baadhi ya
Viongozi Wakuu wa Afrika waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika ambao ulifunguliwa na Mh.Rais wa Rwanda Paul Kagame.
Mh.Kagame katika hotuba yake alisisitiza kuzijengea uwezo sekta binafsi ili
Afrika iweze kufikia uchumi wa kati kwa kipindi cha Miaka 50 ijayo. Aidha
katika kufikia lengo hilo Rais Kagame alisema hatuna budi Afrika kuachana na
Migogoro na kutekeleza kwa vitendo makubaliano yanayoafikiwa na Viongozi wa
Afrika ili kujenga uchumi imara kwa
vizazi vijavyo.
Kikundi cha
Ngoma za asili cha Bollet Nationol – URUKEREREZA cha jijini Rwanda kikitumbuiza
wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
unaofanyika Rwanda.
Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum na
Washiriki mbalimbali wa Mkutano wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika mara
baada ya ufunguzi wa Mkutano huo uliofunguliwa na Mh.Paul Kagame katika ukumbi
wa Mount Karisimbi Jijini Kigali Rwanda.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
0 Comments