Wananchi wa Kijiji cha Makangale kilimo chao Kikubwa ni Viazi Vitamu kama linavyoonekana shamba hili likiwa katika hali nzuri na kunawari
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
5 hours ago
0 Comments