Uwanja wa Kufurahishia Watoto Kariakoo ukiwa tayari takribai asilimia nyingi kutokana na kuendelea na ufungwaji wa pembea katika uwanja huo na kutia matumaini Watpto wetu mwaka huu watakumbukia enzi zile za uwanja huu kwa burudani za pembea mbalimbali na huduma nyengine za michezo ya watoto kiwanjani hapo.
SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAAHIDI KULEA WAANDISHI WA MITANDAONI, MAFUNZO NA
MAREKEBISHO YA SERA
-
SERIKALI ya Awamu ya Sita imesisitiza kuwa itaendelea kulea na kuwawezesha
waandishi wa habari za mitandaoni na mabloga badala ya kuwashughulikia kwa...
1 hour ago
1 Comments
A/A huu uwanja ni wa serikali au ushabinfsishwa?, au anaeutengeneza ni mfadhili gani?
ReplyDelete