Uwanja wa Kufurahishia Watoto Kariakoo ukiwa tayari takribai asilimia nyingi kutokana na kuendelea na ufungwaji wa pembea katika uwanja huo na kutia matumaini Watpto wetu mwaka huu watakumbukia enzi zile za uwanja huu kwa burudani za pembea mbalimbali na huduma nyengine za michezo ya watoto kiwanjani hapo.
JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MABWENI NA MADARASA SHULE YA SEKONDARI DK.
SELEMANI JAFO
-
*MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akikagua ujenzi wa
mabweni mawili na madarasa katika Shule ya Sekondari Dkt.Selemani
Jafo,wakati wa...
1 hour ago
1 Comments
A/A huu uwanja ni wa serikali au ushabinfsishwa?, au anaeutengeneza ni mfadhili gani?
ReplyDelete