Mjasiriamali huu akiwa ameweka biashara yakev katika eneo ambalo limetengwa kwea ajili ya kuegeshea vyombo vya moto katika eneo la malindi soko la samaki na kuweka bidhaa zake katika eneo hilo, kama inavyoonekana pichani au na yeye hulipa kiasi hicho cha fedha shilingi 250/= kama wanavyolipa wenye vyombo vya moto.
WAHARIRI WATEMBELEA MRADI WA REA USAMBAZAJI WA UMEME VITONGOJI SITA
WILAYANI LUDEWA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetembelea mradi wa kusambaza umeme
katika vitongoji sita vilivyopo ukanda wa Ziwa Nyasa...
8 minutes ago
0 Comments