Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakiwa kazini kubadilisha mifunuko ya moja ya mtaro wa maji machafu katika eneo la mkunazini ambao sehemu ya mfuniko huo umeibiwa na watu wasiojilikana na kuacha sehemu hiyo kuwa wazi na kuhatarisha watumiaji wa barabara hiyo.
Kamati ya Bunge ya Miundombinu Yaipongeza TCAA kwa Kuimarisha Usimamizi na
Maendeleo ya Sekta ya Usafiri wa Anga
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imetembelewa na Kamati ya Bunge
ya Miundombunu na kupongezwa kwa jitihada zake za kuisimamia na kuiendeleza...
1 hour ago
0 Comments