Mtaa wa historia katika mji mkongwe wa Zenj na unaoongoza kwa biashara ya Vivutio vya Utalii Zanzibar na hutembelewa na wageni mbalimbali wanaofika Unguja bila ya kutembea mji mkongwe hukufika Unguja na kujionea jinsi ya Wananchi wa enzi hizo walivyokuwa wakitumia mitaa hiyo kwa usafiri wa baskeli kila dakika baskeli hiyo na kusikia kengele kingo.
WAJA ATEMBELEA BARABARA ZILIZOATHIRIWA NA MVUA GEITA, ATOA MATUMAINI.
-
Na Nasra Ismail, Geita
Wananchi wa Mitaa ya Magogo Ibolelo na 14 Kambarage, Kata ya Buhalahala,
Manispaa ya Geita, wamemuomba Mbunge wa Jimbo la Geita Mj...
19 minutes ago
0 Comments