IPO haja kwa Serikali kuwatengenezea daraja
litakaowaunganisha wananchi wa Kojani mbonde na Kojani juu, ili kuondosha
usumbufu kwa wananchi wakati wa kuvuka kwenda kuhitaji huduma muhimu za kiafya.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
TAKUKURU Pwani Yatoa Msaada wa Vifaa Tiba kwa Watoto Njiti
-
Na Khadija Kalili, Kibaha
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani, leo
tarehe 21 Januari 2026, imekabidhi vifaa tiba vya kisas...
12 minutes ago
0 Comments