MKUU wa
Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe:Juma Kassim Tindwa mwenyeshati nyeupe, akimkabidhi
matufali 1000, Mwalimu Mkuu wa skuli ya Msingi Alkhamis Camp Eugene Rutegengwa,
ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, alipoitembelea skuli hiyo mwezi Januari
mwaka huu.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
WAWILI WAFUNGWA MIAKA 30 KWA UBAKAJI
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKAZI wawili wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka k...
1 hour ago
0 Comments