KUWEPO kuwa Umeme wa Uhakika kisiwani Pemba Kutoka
Mkoani Tanga kupitia Chini ya Bahari, tayari wananchi waishio katika visiwa
Vidogo Vidogo wamekuwa wakinufaika na huduma hiyo, Pichani nguzo za Umeme
zilizoko katika ya bahari kutoka likoni kuelekea katika kisiwa cha Kojani
Wilaya ya Wete.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
ADEM YAKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUIMARISHA UONGOZI WA SHULE ZA SEKONDARI
-
Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) leo imepokea ujumbe wa wadau
wa maendeleo kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Mastercard Foundation,
Education...
7 hours ago
0 Comments