6/recent/ticker-posts

Majaribio ya Uwanja wa Watoto Kariakoo unaendelea hadi Jumatano.



















  Watoto wakikata tiketi ya pembea katika kiwanja hicho, kila pembea ilikuwa ikikatiwa tiketi kwa shilingi 1000/=.






 Wananchi wakiwa katika kiwanja cha watoto kariakoo wakiwa katika kiwanja hicho wakati wa
 majaribio ya mapembea yalioko katika uwanja huo.kila pembea hulipia shilingi 1000/=.






 Mambo ya mapembea ya kiwanja cha watoto




Post a Comment

0 Comments