Usafiri wa b aske.li kwa Visiwa vya Zanzibar ni maarufu kwa wakazi wake takriba kila Mwanan chi anamiliki baskeli mjini Zenj Wanafunzi hawa wa Skuli ya Msingi Muyuni B wakijitayarisha kupanda baskeli ili kurudi nyumbani baada ya kumaliza masomo yao. Baskeli imekuwa ni moya ya usafiri mwepesi na wa nafuu kwa Wakazi wa Kijijini.
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MADINI AKUTANA NA CHAMMATA
-
Dodoma
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, amekutana na uongozi
wa Chama cha Mabroka wa Madini Tanzania (CHAMMATA) jijini Dodoma kwa leng...
11 minutes ago
1 Comments
Jinsi watoto walivokua Masikini Wengine Wanapanda Mikweche yao bila ya Viatu.. Na Tukiambiwa wazanzibari tuzinduke ili Tupate maendeleo ya kweli ndio kwanza Tunahubiri chuki.. Huko Muyuni watu wake wengi ni Anti Opposition Anti wapemba.. Antu SUK
ReplyDelete