Usafiri wa b aske.li kwa Visiwa vya Zanzibar ni maarufu kwa wakazi wake takriba kila Mwanan chi anamiliki baskeli mjini Zenj Wanafunzi hawa wa Skuli ya Msingi Muyuni B wakijitayarisha kupanda baskeli ili kurudi nyumbani baada ya kumaliza masomo yao. Baskeli imekuwa ni moya ya usafiri mwepesi na wa nafuu kwa Wakazi wa Kijijini.
KAPINGA AWASHUKURU WANANCHI KATA YA MKAKO NA KIHANGIMAHUKI, AHAHIDI
USHIRIKIANO WA KARIBU KUTATUA CHANGAMOTO ZAO.
-
*Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.
Judith Salvio Kapinga, ametembelea Kata za Mkako na Kihangimahuka katika
mw...
2 hours ago
1 Comments
Jinsi watoto walivokua Masikini Wengine Wanapanda Mikweche yao bila ya Viatu.. Na Tukiambiwa wazanzibari tuzinduke ili Tupate maendeleo ya kweli ndio kwanza Tunahubiri chuki.. Huko Muyuni watu wake wengi ni Anti Opposition Anti wapemba.. Antu SUK
ReplyDelete