Mafundi wa wakifunga taa za kuongozea magari katika barabara ya makutano ya barabara ya michezani na darajani ili kupunguza msongamano wa magari katika barabara hiyo. Taa hizo mpya zinachukua nafasi ya taa za zamani zilizoharibika kwa muda mrefu na kuacha eneo hilo bila ya taa kwa kipindi kikubwa na kuongezeka kwa msonganmano wa magari katika barabara hiyo.
Habari : Waziri Chongolo Afanya Mazungumzo na Waziri Prof. Kitila Mkumbo
-
WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Godfrey Chongolo (Mb) amefanya mazungumzo na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander
Mk...
4 hours ago
0 Comments