DALALI wa soko la Samaki Mbuyuni wilaya ya Mkoani Haji Maalim, akinadi shazi la samaki kwa wajuuzi ambao hapo pichani, huku ujumbe wa Serikali za Mitaa na Tawala za mikoa kutoka Mkoani Tanga ukishuhudia mnada huo.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA
UELEWA WA PAMOJA KWA USTAWI WA PAMOJA: WANAHABARI WANOLEWA KUHUSU DIRA 2050
-
Wanahabari wametakiwa kuwa daraja la kuifikisha kwa umma mikakati na
malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuhakikisha kunakuwepo
uelewa wa pamoja...
21 minutes ago
0 Comments