Mnazi wa ajabu ukiwa katika moja ya eneo la Zanzibar na kuwa kivutio kwa Wageni wanaofika kuuangalia mnazi huo katika moja ya Wilaya za Magharibi Unguja, Ukiwa na pacha tatu za mnazi huo na zote zimetoa madafu kama unavyoonekana pichani ukiwa umenawiri. Unaweza kuujua uko wapi mnazi huu kazi kwako.
KAMATI YA BUNGE YAAGIZA UDHIBITI WA USAHIHI WA VIPIMO UONGEZEWE NGUVU
-
*Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeiagiza
Wakala wa Vipimo (WMA) kuongeza nguvu katika kudhibiti usahihi wa vipimo
ili...
5 hours ago
0 Comments