6/recent/ticker-posts

Dk Shein Amuapisha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Ikulu leo.

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Said Hassan Said

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akimuapisha  Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla hiyo iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

0 Comments