Wanafunzi wa Ngazi
ya Cheti na Diploma wa fani mbali mbali ikiwemo ya Sheria na Utawala, wa Chuo
cha Z.C.B.E kilichopo Vitongoji wilaya ya Chakechake Pemba, wakiendelea na
mitihani yao ya mwaka, inayofanyika chuoni hapo jana, ambayo itamalizika oktoba
24 mwaka huu (picha na Haji Nassor, Pemba
MBUNGE RWAKATARE AWATEMBELEA MABINTI 300 FDC IFAKARA, AWAPATIA MAHITAJI
MUHIMU
-
Mhe Mbunge wa Jimbo la Mlimba,Dkt KellenRose Rwakatare, ametembelea mabinti
300 wanaosoma katika Chuo cha Maendeleo FDC Ifakara na kuwapatia mahitaji
mbali...
1 hour ago


0 Comments