Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea ripoti ya Taasisi ya Bodi ya Viwango Zanzibar (ZBS) kutoka kwa Porf Mshimba jana wakati Uongozi wa Bodi hiyo ulipokutana na Rais Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
ENDELEENI KUIMARISHA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MTAALA ULIOBORESHWA.
-
Serikali imeitaka Taasisi ya Elimu Tanzania kuendelea kuimarisha
ufuatiliaji wa tathimini ya utekelezaji wa mitaala iliyoboreshwa ili
kuleta matokeo cha...
31 minutes ago

0 Comments