6/recent/ticker-posts

Gari iliyoacha njia na kuingia bondeni Chakechake




GARI aina ya Mark II yenye namba za usajili Z885 CH iliokuwa ikitokea Micheweni kwenda Chakechake Pemba, na kuacha njia na kuingia mabondeni, eneo la meli tano kwenye mpindo ambapo ni eneo maarufu kwa kutokezea ajali za gari kupinduka (picha na Haji Nassor, Pemba)

Post a Comment

0 Comments