WANANCHI wa shehia ya Mgogoni wilaya ya Micheweni
Pemba, wakijiosomea habari mbali mbali zinazochapishwa na Gazeti la Zanzibar
leo, wananchi hao walipatiwa gazeti hilo, baada ya waandishi wa habari
kuzungumza nao juu ya maendeleo ya fedha za TASAF wanazopewa kaya lengwa (picha
na Haji Nassor, Pemba)
Je Simba Msimu Huu Ataondoka Kapa Tena?
-
LEO hii Meridianbet tunaangazia klabu ya Simba ambayo imekuwa na mabadiliko
yanayotokea hap na pale huku nafasi ya wao kushinda taji la NBC Premier
Leagu...
19 hours ago
0 Comments