Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA inatowa ratiba ya Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa Wananchi wa Zoni Nne za Unguja katika Wilaya ya Mjini. Na kuwataka Wananchi kujitokeza kwa wingi kuchukuwa Vitambulisho vyao katika vituo vilivyotajwa katika zoni zao
Shincheonji Yadai Kifungu cha 20 cha Katiba ya Korea Kimekiukwa
-
SERIKALI imelenga waziwazi kundi maalum la kidini, ikiliita "madhara ya
kijamii" na "hatari" huku ikihamasisha mamlaka ya serikali kwa njia ya
kulipiza ...
34 minutes ago
0 Comments