Wananchi wakiagalia magari yaliogongana katika barabara ya mwanakwerekwe, katika ajali hiyo iliotokea katika moja ya njia ya kukatisha kurudi sokoni kwerekwe gari ndogo ikiwa katika muelekeo wa kukata kona hiyo na kustukia kugongwa na gari ya pick up ikiwa na shehena ya saruji, katika ajali hiyo hakuna mtu akiyejeruhiwa ila kulikuwa na uharibifu wa gari ya salon upande wa dereva. kama inavyoonekana.
“WCF, NIT Waungana Kupunguza Ajali Barabarani na Kulinda Nguvu Kazi ya
Taifa”
-
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma,
amesema kuwa ushirikiano kati ya WCF na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji
(NIT) u...
7 hours ago
0 Comments