Matumizi ya taa za Barabara katika makutano ya barabara ya Michenzani na kwa Khamis machungwa yakitoa huduma ya kuongoza magari katika barabara hiyo. baada ya kuwekwa kwa sasa karibu miezi miwili baada ya kuondolewa ya zamani na kuwekwa mapya yanayotumia solar. Taasisi husika inahitaji kuyaangalia na kuyafanyia huduma kwa wakati ili yaendelee kutowa huduma hiyo kupunguza msongamano wa magari katika barabara hiyo. na kutowa mafunzo kwa baadhi ya madereva kutofahamu matumizi ya taa hizo.
Mwananchi akijizonga wakati akikata barabara huku magari yakiwa yamenzonga.
JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE HANDENI MJI KUZINDULIWA MACHI 5
-
*Na Mwandishi Wetu*
*KATIKA kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani,
Halmashauri ya Mji Handeni imejipanga kutekeleza shughuli mbal...
16 minutes ago
1 Comments
Vyombo vinavyohusika vitoe elimu kuhusu matumizi ya taa za kuongozea magari barabarani hasa kwa watembea kwa miguu watagongwa kwa hawajui vipi pale wanaruhusika kupita na wakati gani wasipite licha ya kuwa picha zipo wao labda wanaona kama ni mapambo tuu yale jamani elimu muhimu wapewe hao watu watakufaaaaaa
ReplyDelete