WANANCHI wa shehia ya Ndagoni Wilaya ya Chake Chake, wakitengeneza tuta la kuzuwia maji ya Chumvi lenye urefu wa mita 200, kwa ajili ya kuzuwia maji hayo yasiingie kwenye mashamba yao ya mpunga, kupitia ufadhili wa Tassaf awamu ya Tatu.(Picha na Mariyam Salim, Pemba)
SAFARI YA KUZAA NA KUHAMA KWA NYUMBU YATUA FITUR HISPANIA
-
Na Mwandishi wetu.
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake inaendelea kunadi
vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania katika maonesho ya FITUR
y...
20 minutes ago
0 Comments