6/recent/ticker-posts

Raza akabidhi vifaa vya michezo Kusini Pemba

 MJUMBE wa kamati Kuu YA ccm Taifa, Mhe:Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wanamichezo wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa kusini Pemba, huko katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, kabla ya kukabidhiwa vifaa mbali vya michezo vilivyotolewa na Mawakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe: Mohamed Raza.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWAKILISHI wa Jimbo la Uzini na Mdau mkubwa wa michezo Zanzibar, Mhe:Mohamed Raza akimkabidhi kikombe katibu wa CCM Mkoa wa kusini Pemba, Khadija Nassor Abdi, hafla iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa wa kusini pemba, vifaa hivyo vikiwa na thamani ya Milioni 3,000,000/=.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MWAKILISHI wa Jimbo la Uzini na Mdau mkubwa wa michezo Zanzibar, Mhe:Mohamed Raza akimkabidhi Mipira katibu wa CCM Mkoa wa kusini Pemba, Khadija Nassor Abdi, hafla iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa wa kusini pemba, vifaa hivyo vikiwa na thamani ya Milioni 3,000,000/=.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)



Post a Comment

0 Comments