6/recent/ticker-posts

Wananchi wa Kinuni Wajitokeza katika Zoezi la Kuchukua Vitambulisho vya Taifa

Wananchi wa Shehia ya Kinunu Wilaya ya Magharibi Unguja wakiangalia majino yao katika moja ya ukuta wa skuli hiyo kabla ya kwenda kuchukua Vitambulisho vyao baada ya kukamilika kwa awamu ya kwanza wakati wa zoezi hilo linalofanyika katika Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja

Mfanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho akitowa maelekezo kwa Wananchi wa Shehia ya Kinuni wakati wa zoezi la kutowa Vitambulisho kwa Wananchi wa shehia hiyo.Waliofika kuchukua vitambulisho vyao wakati wa zoezi hilo kwa shehia hiyo Wananchi wengi wamejitokeza kuchukua Vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulishi vya Taifa Tanzania (NIDA) 


Askali akiweka sawa  usalama katika kituo cha kuchukulia vitambulisho cha skuli ya kinuni  chem chem, wakati wa zoezi hilo la utoaji wa vitambulisho vya Taifa kwa Wananchi wa Zanzibar. baada kwa kukamilika zoezi hilo hatua ya mwazo. kwa kukabidhi vitambulisho.  
Vitambulisho vya Taifa vikiwa tayari kukabidhiwa kwa Wananchi wa shehia kinuni Wilaya ya Magharibi Unguja, vikiwa katika kituo hhicho vikisubiri wahusika kukabidhiwa wakati wa zoezi hilo linaloendelea katika Shehia za Wilaya ya Magharibi Unguja.



Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) akinakiri namba ya kitambulisho cha Mwananchi aliefika katika kituo hicho kuchukua kitambulisho chake katika skuli ya Kinuni chem chem.wakati wa zoezi la kutowa vitambulisho kwa Wananchi wa Shehia hiyo.

Post a Comment

0 Comments