MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali ya Ofisi ya
Pemba, linalochapisha magazeti ya Zanzibar Leo, Zanzibar leo Jumapili na
Zasport, Bakari Musa Juma akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Mifugo Habari ya
Baraza la wawakilishi Zanzibar cheti cha uwandishi bora wa habari na makala zinazohamasisha
ulipaji kodi kilichotolewa na TRA kwa ofisi hiyo, wakati wajumbe hao
walipotembelea ofisi hiyo Chake Chake Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali ya Ofisi ya
Pemba, linalochapisha magazeti ya Zanzibar Leo, Zanzibar leo Jumapili na
Zasport, Bakari Musa Juma akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Mifugo Habari ya
Baraza la wawakilishi Zanzibar cheti cha uwandishi wa Makala za ushirikiano wa
miaka 50 baina ya SMZ na serikali ya Jamhuri watu wa China, wakati wajumbe hao
walipotembela ofisi hiyo Chake Chake Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali ya Ofisi ya
Pemba, linalochapisha magazeti ya Zanzibar Leo, Zanzibar leo Jumapili na
Zasport, Bakari Musa Juma akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Mifugo Habari ya
Baraza la wawakilishi Zanzibar cheti cha uandishi wa Habri za GBV
alichotunikiwa Mwandishi Haji Nassor Mohammed,kilicho tolewa na Gender Link
yenye makao makuu yake Marekani, kwa kushirikiana na Tamwa Tanzania, wakati
wajumbe hao walipotembelea ofisi hiyo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
0 Comments