Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hossam Mohamram alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hossam Mohamram alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi kwa mazungumzo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi kwa mazungumzo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke (katikati) alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi akifuatana na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Tamasha la Afrika Stefan Oschman (kushoto),[Picha na Ikulu.]
KAMATI YA BUNGE UWEKEZAJI MITAJI YA UMMA YARIDHISWA NA MRADI WA MAKAZI WA
CANADIAN MASAKI
-
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma
(PIC), Masanja Kadogosa, leo Machi 24, 2026 ameongoza ziara ya ukaguzi wa
mradi...
4 hours ago


0 Comments