6/recent/ticker-posts

Waziri wa ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa azindua skuli ya Msingi ya Jojo, Wete

 
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Tanzania, Mhe:Hussein Ali Miwnyi wakwanza kutoka kulia, akiwa na viongozi wa serikali wakielekea kwenda kuzindua skuli ya msingi jojo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania, Mhe:Hussein Ali Mwinyi akiondosha kitambaa kuashiria uzinduzi wa skuli ya Jojo msingi Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, ikiwa ni shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
MABANDA sita ya skuli ya Jojo Msingi Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, yaliyozinduliwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wa Tanzania Mhe:Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
MKUU wa Mkao wa Kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis Othman, akizungumza na wananchi wa Jojo mara baada ya kuzinduliwa mabanda yao sita ya skuli kijijini hapo. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
NAIBU waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe:Zahra Ali Hamad, akizungumza na wananchi wa jojo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, mara baada ya kuzinduwali kwa jingo la skuli yao ya msingi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)


WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Tanzania Bara, Mhe:Hussein Ali Miwnyi wakanza kutoka kulia, akizungumza na wananchi wa jojo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, mara baada ya kuzindua jingo la skuli ya msingi kijijini hapo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 

Post a Comment

0 Comments