Mchezaji wa timu ya Mtibwa akimpiga chenga beki wa timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wa kuwania kuingia robo fainal ya michuano ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sarev ya bila ya kufungana.
Mshambuliaji wa timu ya Mtibwa akimpita beki wa Mafunzo wakati wa mchezo wao wa kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika uwanja wa Amaan, timu hizo zimetoka sare bila yac kuvungana.
Jopo la Benchi la Ufundi la timu ya Mafunzo wakifuatilia mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa amaan.
Beki wa timu ya Mafunzo akikimbilia mpira kuokoa golini kwao huku mchezaji wa Mtibwa akiwa tayari kuchukua mpira huo.
Wachezaji wa timu ya Mafunzo wakiokoa moja ya hatari golini kwao.
Mchezaji wa Mtibwa na Mafunzo wakiwania mpira katika mchezo wao wa kuwania kufuzu kuingia robo fainal ya michuano ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mchezaji wa timu ya Mtibwa akimpita beki wa timu ya Mafunzo katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan, timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
0 Comments