6/recent/ticker-posts

Profesa Abdulatif Amtembelea Mtunzi wa Kitabu cha Paka na Binti Hatibu.

Bwana Yussuf Shoka (Kushoto)akizungumza na Profesa Abdilatif, wakati alipomtembelea na kufanya mazungumzo ya kitaalamu ya Kifasihi.wakati alipotembelea nchi Uingereza hivi karibuni.  

 Profesa Abdilatif Abdalla akiwa pamoja na Mkuu wa Idara ya Afrika, SOAS Dr. Alena Rettova. Kushoto ni mwandishi wa Paka wa Binti Hatibu Bwana Yussuf Shoka

Profesa Abdilatif Abdalla akiwa pamoja na Bwana Yussuf Shoka. Kushoto ni Mhadhiri wa Kiswahili na Tafsiri, SOAS Dr. Chege Githiora

Post a Comment

0 Comments