Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, naibu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.(PICHA NA IKULU)
MHASIBU MKUU WA SERIKALI AZINDUA AWAMU YA PILI YA BODI YA RUFAA YA WAHASIBU
NA WAKAGUZI WA HESABU (AAAB)
-
Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Leonard Mkude amezindua rasmi awamu ya pili
ya Bodi ya Rufaa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (Accountants and
Auditors...
1 hour ago

0 Comments