Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Hani Bin Abdulla Mominah leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.[Picha na Ikulu.]
SERIKALI YATOA BILIONI 16 KUFANYA MABORESHO MAKUBWA YA KUSAMBAZA UMEME
KITUO CHA KIBETA -BUKOBA
-
Na Diana Byera,Bukoba.
SERIKALI imetoa Sh. 16 kwa ajili ya kufanya maboresho ya upanuzi na njia za
kusambaza umeme kwenye kituo cha kupokea,kupoza na kusa...
4 minutes ago


0 Comments