Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ikitowa huduma za ndege kubwa
baada ya kumalizika kwa ujenzi wake wa maegesho ya ndege na barabara ya
kuondokea, hivi karibuni kama inavyoonekana picha ndege mbili kubwa za Ethiopian airline na Oman Air zikiwa katika uwanja huo kwa
wakati mmoja zikitowa huduma ya kusafirisha abiria kupitia uwanja huo
SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI-DKT. MWIGULU
-
-Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na
uwajibikaji
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada...
9 hours ago
0 Comments