MJASIRIAMALI wa bidhaa za kutembeza katika Mji Mkongwe wa
Zanzibar akiwa katika harakati za
kutafuta wateja wa bidhaa hizo katika maeneo ya mji mkongwe akiwa na wageni wanaotembelea maeneo ya historia ya Zanzibar.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
11 hours ago
0 Comments