Mafundi wa Baraza la Manispaa Zanzibar wakiwa katika zoezi la kiufundi katika moji ya
taa za barabarani za nguvu za jua za
solar, wakiifanyia matengenezo kama walivyokutwa na mpiga picha katika barabara
ya mlandege
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
9 hours ago
0 Comments